Kocha
wa zamani wa Chelsea, Roberto Di Matteo amerejea England safari hii
akichukua kazi ya kuinoa Aston Villa ambayo imeporomoka hadj daraja la
kwanza.
Di
Mateo ,46, aria wa Italia alionekana ni mwenye furaha wakati akiwa na
mmilili wa Aston Villa, Tony Xia ambaye ni mmiliki mpya na tayari Di
Mateo ameishaanza kujenga kikosi chake upya.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.