Timu ya Iceland imeoiondoa England kwa mabao 2-1 katika michuano ya mpira ya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa.
Iceland kwa sasa itakutana na mwenyeji wa michuano hiyo Ufaransa mjini Paris Jumapili Julai 3.Katika mchezo mwingine bingwa mtetezi Hispania ameondolewa kwa kichapo cha 2-0 ilipokipiga dhidi ya Italia.
Mshambuliaji wa England ROONEY kushoto akiifungia timu yake goli kwa penalti |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.