Ingekuwa
ni hapa Tanzania, ungeweza kusema ‘wameuza’ mechi katika dakika za
mwisho baada ya England kuruhusu bao la kusawazisha katika dakika ya
pili kati ya tatu za nyongeza katika mechi yao ya kwanza ya michuano ya
Euro 2016 nchini Ufaransa.
Russia
ndiyo waliosawazisha mwishoni kabisa na kufuta furaha ya England
iliyotangulia kupata bao mwanzoni mw akipindi cha pili kupitia Eric
Dier. Matokeo ya bao 1-1 yanaifanya England kuondoka na pointi moja,
hivyo kupoteza mbili mwishoni kabisa.
ENGLAND (4-3-3): Hart; Walker, Cahill, Smalling, Rose; Alli, Dier, Rooney; Lallana, Kane, Sterling
Subs not used: Forster, Milner, Vardy, Clyne, Henderson, Sturridge, Stones, Wilshere, Barkley, Bertrand, Rashford, Heaton
RUSSIA (4-2-3-1): Akinfeev; Smolnikov, Ignashevich, Vasili Berezutski, Schennikov; Neustadter, Golovin; Smolov, Shatov, Kokorin; Dzjuba
Subs not used: Lodygin, Shishkin, Alexsei Berezutski, Yusupov, Glushakov, Mamaev, Shirokov, Ivanov, Samedov, Torbinski, Kombarov, Marinato
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.