HISPANIA YASONGA HATUA YA 16 BORA KWA KUITWANGA UTURUKI MABAO 3-0

Hispania ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Euro wamefuzu kucheza hatua ya 16 Bora baada ya kuitwanga Uturuki kwa mabao 3-0.

Alvaro Morata aliyefunga mabao mawili na Nolito ndiyo walikuwa mashujaa waliofunga mabao hayo matatu na kuihakikishia timu yao kusonga hatua ya mtoano.

 Spain: De Gea, Juanfran, Pique, Sergio Ramos, Jordi Alba, Fabregas, Busquets, Iniesta, Silva, Morata, Nolito.
Subs: Casillas, Azpilicueta, Bartra, Koke, Lucas, Pedro, Bellerin, Thiago, San Jose, Bruno, Aduriz, Sergio Rico.
Turkey: Babacan, Gonul, Topal, Balta, Erkin, Tufan, Inan, Ozyakup, Calhanoglu, Yilmaz, Turan.
Subs: Kivrak, Kaya, Calik, Sahin, Tosun, Sahan, Koybasi, Malli, Sen, Mor, Ozbayrakli, Tekin.

Referee: Milorad Mazic (Serbia)

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.