MASKINI MESSI AKOSA TENA UBINGWA MARA BAADA YA ARGENTINA KUPIGWA NA CHILE PENALTI 4-2 HUKU AKIKOSA PENALTI

 

Michuano ya Copa America imefikia tamati leo hii kwa mabingwa watetezi Chile kuendeleza ubabe wake dhidi ya Vigogo wa soka duniani Argentina.

Dakika 120 za mchezo huo zilishuhudia timu hizo zikienda suluhu ya bila kufungana. Mchezo huo ulitawaliwa na ubabe wa hapa na pale huku ikushuhudiwa timu zote mbili zikimaliza kipindi cha kwanza zikiwa na wachezaji 10 baada ya Marcelo Diaz wa Chile kulambwa kadi mbili za njano na kuwa nyekundu dakika ya 28 kabla ya Marcos Rojo wa Argentina kutolewa nje dakika ya 43 kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja. Katika upigaji wa penalti,Arturo Vidal wa Chile alianza kwa kukosa kabla ya Lionel Messi na Lucas Biglia kukosa kwa upande wa Argentina.

 Hii inakuwa fainali ya pili ndani ya miaka miwili kwa timu hizi mbili kukutana katika hatua ya fainali amapo mara zote mbili Chile wamechukuwa kikombe hicho kwa mikwaju ya penalti. Fainali hizi zilichezwa mwaka jana nchini Chile na kurudiwa mwaka huu ikiwa ni maadhimisho ya miaka 100 tokea kuanza kwa michuano hii mwaka 1916.

 


MATCH FACTS

Argentina: Romero, Mercado, Otamendi, Funes Mori, Rojo, Biglia, Mascherano, Banega (Lamela 111), Messi, Higuain (Aguero 69), Di Maria (Kranevitter 57).

Subs Not Used: Guzman, Maidana, Roncaglia, Fernandez, Cuesta, Gaitan, Pastore, Andujar.
Sent Off: Rojo (43).
Booked: Mascherano, Messi, Kranevitter .
Chile: Bravo, Isla, Medel, Jara, Beausejour, Vidal, Diaz, Aranguiz, Fuenzalida (Puch 80), Vargas (Castillo 109), Sanchez (Silva 103).

Subs Not Used: Toselli, Roco, Pinilla, Hernandez, Pulgar, Gonzalez, Orellana, Herrera.
Sent Off: Diaz (29).
Booked: Diaz, Vidal, Beausejour, Aranguiz.
Chile win 4-2 on penalties
Att: 82,026
Ref: Heber Roberto Lopes (Braz
Argentina have gone 23 years without a trophy and Messi will have no better chance than he had












Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.