Mchezaji tennis namba nne kwa ubora upande wa wanaume Stan Wawrinka Amejiondoa kushiriki michuano ya Olimpiki.Mchezaji huyu amejiondoa kushiriki mashindano hayo makubwa duniani baada ya kupata majeraha katika michuano ya Rogers Cup iliyofanyika huko Toronto, Canada.
Nyota huyu aliondolewa katika hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa na kei nishikori mwezi uliopita na kutokana na ushauri wa daktari wake ameamua kujiondoa katika michuano hiyo.
Wachezaji wengi mashuhuri wa mchezo huu wa tenesi wamejiondoa kushikiri michuano hiyo ikiwemo Roger Federer, Marcos Baghdatis kutokana na kusumbuliwa na majeraha
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.