VIDEO-PENALTI ZILIZOITOA YANGA JANA SPORTSPESA SUPER CUP Unknown - 2:47 AM MICHEZO KITAIFA Edit Yanga imeyaaga mashindano ya SportPesa Super Cup kufuatia kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-2 na AFC Leopards ya Kenya kwenye mchezo wa nusu fainali. Mikwaju ya penati ililazimika kutumika kumpata mshindi atakaefuzu kucheza fainali baada ya dakika 90 kumalizika huku timu hizo zikiwa zimetoka suluhu. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS IKIWA NCHINI UTURUKI SIMBA KUKIPIGA...KIPA WA YANGA ASIFIWA NA MANYIKA KU...KAMBI YA UGANDA YANOGA NGOMA AKIANZ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.