Mdhamini
wa Klabu ya Simba, Ramesh Patel akipokea hati ya Kiwanja cha Bunju Plot
no 226 Block 1 kutoka kwa Ofisa wa Ofisi ya Msajili wa Hati, Mpoki
Mwalufunda na anayeshuhudia kwa nyuma ni Msajili Msaidizi wa Hati,
Apollo Laizer.
Sasa Simba inaweza kuanza ujenzi wa uwanja wake wa mazoezi wakati wowote ule kwa kuwa jambo hilo ndiyo lilikuwa likiwakwamisha.
Taarifa
za ndani zinaeleza, Simba walilazimika kusubiri hadi watakapopata hati
hiyo ili waanze kazi ya ujenzi ambayo kama wangepata hati hiyo,
wangeweza kuanza mwaka jana.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.